tag:blogger.com,1999:blog-2347538004969115957.post288933511527293529..comments2022-04-10T06:19:44.431-07:00Comments on William Shao: KitabuWilliam Shaohttp://www.blogger.com/profile/07060693829781438334noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-2347538004969115957.post-77734334819394698552013-12-03T07:24:35.052-08:002013-12-03T07:24:35.052-08:00Ninashukuru sana mtumishi kwa mafundisho haya;ila ...Ninashukuru sana mtumishi kwa mafundisho haya;ila ninahitaji unielekeze jinsi ya kuvipata vitabu vyako ili niendelee kuelimika zaidi.Yusufuhttps://www.blogger.com/profile/00274227067525598533noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2347538004969115957.post-63241879312952760712013-12-03T07:23:18.599-08:002013-12-03T07:23:18.599-08:00Ninashukuru sana mtumishi kwa mafundisho haya;ila ...Ninashukuru sana mtumishi kwa mafundisho haya;ila ninahitaji unielekeze jinsi ya kuvipata vitabu vyako ili niendelee kuelimika zaidi.Yusufuhttps://www.blogger.com/profile/00274227067525598533noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2347538004969115957.post-17517540778894126692007-02-14T21:35:00.000-08:002007-02-14T21:35:00.000-08:00This comment has been removed by the author.VEShttps://www.blogger.com/profile/01418139491492518135noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2347538004969115957.post-44659280091458984992007-02-14T21:34:00.000-08:002007-02-14T21:34:00.000-08:00Nakushukuru sana kaka kwa kuifungua macho. nilikuw...Nakushukuru sana kaka kwa kuifungua macho. nilikuwa najaribu kutafuta mawazo mapana yanayopingana na taratibu za kanisa ambazo najua fika si njia halali ya kuwapaleka watu uzimani. Nakusihi uendelee kutufumbulia haya zaidi ili kila anaweza kusoma ayaone ili kuleta changamoto ya kubadili idikadi za kibinadamu na kumtafuta mungu maadam anapatikana, badala ya kulitazama kanisa linafundisha nini, na ni kwani watu hawaachi maovu, pia kwa nini imekuwa ni desturi watu kwenda kanisani kuabudu kwa utaratibu wa kidini na kimadhehebu ijapokuwa wanatafuta thawabu ya uzima wa milele. Mungu akuwezeshe kuendelea kutafuta ukweli kuhusu kanisani. Lakini naomba ushauri yaelekea unazo source nyingi za uchambuzi naweza kuzipata wapi kwa kuniwezesha mimi kupanua wigo wa mawazo. Waweza kunieleza, hivi ni kwa nini kuna mfumuko wa madhehebu mengi kwa hivi karibuni?<BR/><BR/>victor E saria<BR/>victorsaria2004@yahoo.co.ukVEShttps://www.blogger.com/profile/01418139491492518135noreply@blogger.com